2 Kings 24:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo jeshi la Nebukadneza mfalme wa Babuloni, lilishambulia mji wa Yerusalemu na kuuzingira.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo, maafisa wa Nebukadneza mfalme wa Babeli walikuja kushambulia Yerusalemu, nao wakauzingira kwa jeshi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati ule watumishi wa Nebukadreza mfalme wa Babeli wakakwea kwenda Yerusalemu, na mji ukahusuriwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo jeshi la Nebukadneza mfalme wa Babuloni, lilishambulia mji wa Yerusalemu na kuuzingira.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo, maafisa wa Nebukadneza mfalme wa Babeli walikuja ili kuishambulia Yerusalemu nao wakaizunguka kwa jeshi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo, maafisa wa Nebukadneza mfalme wa Babeli walikuja ili kuishambulia Yerusalemu, nao wakaizunguka kwa jeshi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati ule watumishi wa Nebukadneza mfalme wa Babeli wakakwea kwenda Yerusalemu, na mji ukahusuriwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo jeshi la Nebukadneza mfalme wa Babuloni, lilishambulia mji wa Yerusalemu na kuuzingira.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakati huo wakapanda watumishi wa Nebukadinesari, mfalme wa Babeli, kwenda Yerusalemu, mji huu ukaja kusongwa kwa kuzingwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati ule watumishi wa Nebukadreza mfalme wa Babeli wakakwea kwenda Yerusalemu, na mji ukahusuriwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule waaskari wa Nebukadneza mufalme wa Babeli wakashambulia Yerusalema na kuuzunguka.