2 Kings 24:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati majeshi yalipokuwa yanauzingira mji, Nebukadneza mwenyewe alikuja Yerusalemu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nebukadneza mwenyewe akaupandia mji wakati maafisa wake walipokuwa wameuzingira.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Nebukadreza, mfalme wa Babeli, akaufikilia huo mji, hapo watumishi wake walipokuwa wakiuhusuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati majeshi yalipokuwa yanauzingira mji, Nebukadneza mwenyewe alikuja Yerusalemu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nebukadneza mwenyewe akaupandia mji wakati maafisa wake walipokuwa wameuzunguka kwa jeshi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nebukadneza mwenyewe akaupandia mji wakati maafisa wake walipokuwa wameuzunguka kwa jeshi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Nebukadneza, mfalme wa Babeli, akaufikia huo mji, hapo watumishi wake walipokuwa wakiuhusuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati majeshi yalipokuwa yanauzingira mji, Nebukadneza mwenyewe alikuja Yerusalemu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Nebukadinesari, mfalme wa Babeli, akaja Yerusalemu, watumishi wake walipokuwa wakiusonga huo mji kwa kuuzinga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Nebukadreza, mfalme wa Babeli, akaufikilia huo mji, hapo watumishi wake walipokuwa wakiuhusuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati waaskari walipokuwa wanauzunguka muji, Nebukadneza mwenyewe alifika Yerusalema,