2 Kings 24:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nebukadneza alichukua watu mashujaa wa Yuda jumla yao watu 7,000 pamoja na mafundi hodari na wahunzi 1,000; wote hawa wakiwa watu wenye nguvu na wa kuweza kupigana vitani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme wa Babeli pia akawahamishia Babeli wapiganaji elfu saba wenye nguvu na tayari kwa vita, na mafundi na wahunzi elfu moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mashujaa wote, watu elfu saba, na mafundi na wafua chuma elfu moja, wote pia wenye nguvu, tayari kwa vita, hao wote mfalme wa Babeli aliwachukua mateka mpaka Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nebukadneza alichukua watu mashujaa wa Yuda jumla yao watu 7,000 pamoja na mafundi hodari na wahunzi 1,000; wote hawa wakiwa watu wenye nguvu na wa kuweza kupigana vitani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme wa Babeli pia akawahamishia Babeli mashujaa elfu saba, wenye nguvu na wanaofaa kupigana vita, watu wenye ustadi na mafundi elfu moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme wa Babeli pia akawahamishia Babeli mashujaa elfu saba, wenye nguvu na wanaofaa kupigana vita, na watu wenye ustadi na mafundi elfu moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mashujaa wote, watu elfu saba, na mafundi na wafua chuma elfu moja, wote pia wenye nguvu, tayari kwa vita, hao wote mfalme wa Babeli aliwachukua mateka mpaka Babeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nebukadneza alichukua watu mashujaa wa Yuda jumla yao watu 7,000 pamoja na mafundi hodari na wahunzi 1,000; wote hawa wakiwa watu wenye nguvu na wa kuweza kupigana vitani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena wenye nguvu wote 7000, na mafundi na wahunzi 1000, wote ni mafundi wa kweli wa kupiga vita; hao mfalme wa Babeli akawapeleka Babeli kifungoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mashujaa wote, watu elfu saba, na mafundi na wafua chuma elfu moja, wote pia wenye nguvu, tayari kwa vita, hao wote mfalme wa Babeli aliwachukua mateka mpaka Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nebukadneza alipeleka watu mashujaa wa Yuda, jumla yao watu elfu saba pamoja na wafundi hodari na wafuaji wa vyuma elfu moja, wote hawa wakiwa watu wenye nguvu na wa kuweza kupigana katika vita.