2 Kings 24:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nebukadneza akamtawaza Matania, mjomba wake Yehoyakini, kuwa mfalme badala yake, akalibadilisha jina lake kuwa Sedekia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamfanya Matania, ndugu wa baba yake Yehoyakini, kuwa mfalme mahali pake, na akalibadilisha jina lake kuwa Sedekia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme wa Babeli akamtawaza Matania, ndugu ya baba yake, awe mfalme badala yake, akalibadili jina lake, akamwita Sedekia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nebukadneza akamtawaza Matania, mjomba wake Yehoyakini, kuwa mfalme badala yake, akalibadilisha jina lake kuwa Sedekia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamfanya Matania, ndugu wa baba yake Yehoyakini, kuwa mfalme mahali pake na akalibadilisha jina lake kuwa Sedekia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamfanya Matania, ndugu wa baba yake Yehoyakini, kuwa mfalme mahali pake, na akalibadilisha jina lake kuwa Sedekia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme wa Babeli akamtawaza Matania, ndugu ya baba yake, awe mfalme badala yake, akalibadili jina lake, akamwita Sedekia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nebukadneza akamtawaza Matania, mjomba wake Yehoyakini, kuwa mfalme badala yake, akalibadilisha jina lake kuwa Sedekia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mfalme wa Babeli akamfanya baba yake mdogo Matania kuwa mfalme mahali pake, akaligeuza jina lake, akamwita Sedekia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme wa Babeli akamtawaza Matania, ndugu ya baba yake, awe mfalme badala yake, akalibadili jina lake, akamwita Sedekia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nebukadneza akamuweka Matania, baba mudogo ya Yoyakini, kuwa mufalme kwa pahali pake, akalibadilisha jina lake kuwa Zedekia.