2 Kings 24:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika mambo haya yaliikumba nchi ya Yuda kwa amri ya Mwenyezi-Mungu, ili kuwahamisha kutoka mbele yake, kwa sababu ya dhambi za mfalme Manase na yote aliyoyatenda,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika mambo haya yalitokea Yuda kulingana na agizo la Mwenyezi Mungu, ili kuwaondoa kutoka machoni pake kwa sababu ya dhambi za Manase na yote aliyoyafanya,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika kwa amri ya Bwana mambo hayo yalimpata Yuda, ili waondoshwe kutoka machoni pake, kwa sababu ya dhambi zake Manase, kadiri ya yote aliyoyafanya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika mambo haya yaliikumba nchi ya Yuda kwa amri ya Mwenyezi-Mungu, ili kuwahamisha kutoka mbele yake, kwa sababu ya dhambi za mfalme Manase na yote aliyoyatenda,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika mambo haya yalitokea Yuda kulingana na agizo la BWANA, ili kuwaondoa kutoka machoni pake kwa sababu ya dhambi za Manase na yote aliyoyafanya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika mambo haya yalitokea Yuda kulingana na agizo la bwana, ili kuwaondoa kutoka machoni pake kwa sababu ya dhambi za Manase na yote aliyoyafanya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika kwa amri ya BWANA mambo hayo yalimpata Yuda, ili waondoshwe kutoka machoni pake, kwa sababu ya dhambi zake Manase, kadiri ya yote aliyoyafanya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika mambo haya yaliikumba nchi ya Yuda kwa amri ya Mwenyezi-Mungu, ili kuwahamisha kutoka mbele yake, kwa sababu ya dhambi za mfalme Manase na yote aliyoyatenda,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo vikaingia katika nchi ya Yuda kwa lile neno, kinywa cha Bwana kililolisema, aiondoe usoni pake kwa ajili ya makosa ya Manase, aliyoyafanya yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika kwa amri ya BWANA mambo hayo yalimpata Yuda, ili waondoshwe kutoka machoni pake, kwa sababu ya dhambi zake Manase, kadiri ya yote aliyoyafanya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika mambo haya yakaitokea inchi ya Yuda kwa amri ya Yawe, kwa kuwahamisha kutoka mbele yake, kwa sababu ya zambi za mufalme Manase na yote aliyoyatenda,