2 Kings 24:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kwa sababu ya damu isiyo na hatia aliyoimwaga. Mwenyezi-Mungu hakumsamehe makosa hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ikiwa ni pamoja na kumwaga damu isiyo na hatia. Kwa kuwa aliijaza Yerusalemu kwa damu isiyo na hatia, naye Mwenyezi Mungu hakuwa radhi kusamehe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena kwa ajili ya damu zisizo na hatia alizozimwaga; kwani aliujaza Yerusalemu damu zisizo na hatia; wala Bwana hakukubali kusamehe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kwa sababu ya damu isiyo na hatia aliyoimwaga. Mwenyezi-Mungu hakumsamehe makosa hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ikiwa ni pamoja na kumwaga damu isiyo na hatia. Kwa kuwa aliijaza Yerusalemu kwa damu isiyo na hatia na BWANA hakuwa radhi kusamehe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ikiwa ni pamoja na kumwaga damu isiyo na hatia. Kwa kuwa aliijaza Yerusalemu kwa damu isiyo na hatia, naye bwana hakuwa radhi kusamehe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena kwa ajili ya damu zisizo na hatia alizozimwaga; kwani aliujaza Yerusalemu damu zisizo na hatia; wala BWANA hakukubali kusamehe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kwa sababu ya damu isiyo na hatia aliyoimwaga. Mwenyezi-Mungu hakumsamehe makosa hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata kwa ajili ya damu zao wasiokosa, alizozimwaga, akaujaza Yerusalemu hizo damu zao wasiokosa, kwa sababu hii Bwana hakutaka kuwaondolea makosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena kwa ajili ya damu zisizo na hatia alizozimwaga; kwani aliujaza Yerusalemu damu zisizo na hatia; wala BWANA hakukubali kusamehe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kwa sababu ya damu isiyokuwa na kosa aliyoimwanga. Yawe hakumusamehe makosa hayo.