2 Kings 24:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoyakimu akafariki, na mwanawe Yehoyakini akatawala mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoyakimu akalala na baba zake. Naye Yehoyakini mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoyakimu akalala na babaze; na mwanawe Yekonia
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoyakimu akafariki, na mwanawe Yehoyakini akatawala mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoiakimu akalala pamoja na baba zake. Naye Yehoyakini mwanawe akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoyakimu akalala pamoja na baba zake. Naye Yehoyakini mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoyakimu akalala na babaze; na mwanawe Yekonia akatawala mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoyakimu akafariki, na mwanawe Yehoyakini akatawala mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoyakimu alipokwenda kulala na baba zake, mwanawe Yoyakini akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoyakimu akalala na babaze; na mwanawe Yekonia akatawala mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoyakimu akakufa, na mwana wake Yoyakini akatawala kwa pahali pake.