2 Kings 24:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoyakini alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala; alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miezi mitatu. Mama yake alikuwa Nehushta binti Elnathani, mkazi wa Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoyakini alikuwa na umri wa miaka kumi na nane alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miezi mitatu. Mama yake aliitwa Nehushta binti Elnathani kutoka Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yekonia alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala; akatawala miezi mitatu katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Nehushta binti Elnathani wa Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoyakini alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala; alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miezi mitatu. Mama yake alikuwa Nehushta binti Elnathani, mkazi wa Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoyakini alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala, naye akatawala katika Yerusalemu kwa miezi mitatu. Jina la mama yake aliitwa Nehushta binti Elnathani kutoka Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoyakini alikuwa na miaka kumi na minane alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miezi mitatu. Jina la mama yake aliitwa Nehushta binti Elnathani kutoka Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yekonia alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala; akatawala miezi mitatu katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Nehushta binti Elnathani wa Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoyakini alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala; alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miezi mitatu. Mama yake alikuwa Nehushta binti Elnathani, mkazi wa Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoyakini alikuwa mwenye miaka 18 alipoupata ufalme, akawa mfalme miezi 3 mle Yerusalemu; jina la mama yake ni Nehusta, binti Elnatani, wa Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yekonia alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala; akatawala miezi mitatu katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Nehushta binti Elnathani wa Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoyakini alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala. Alitawala akiwa Yerusalema kwa muda wa miezi mitatu. Mama yake aliitwa Nehusta, binti ya Elnatani, mukaaji wa Yerusalema.