2 Kings 24:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama aliyoyafanya baba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafanya maovu machoni pa Mwenyezi Mungu, kama vile baba yake alivyokuwa amefanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana, mfano wa yote aliyoyafanya baba yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama aliyoyafanya baba yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafanya maovu machoni pa BWANA, kama vile baba yake alivyokuwa amefanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafanya maovu machoni pa bwana, kama vile baba yake alivyokuwa amefanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, mfano wa yote aliyoyafanya baba yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama aliyoyafanya baba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana kama yote, baba zake waliyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, mfano wa yote aliyoyafanya baba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitenda maovu mbele ya Yawe kama vile baba yake alivyofanya.