2 Kings 25:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao askari wote wa Wakaldayo waliokuwa pamoja na kapteni na walinzi wa mfalme walizibomoa kuta zilizouzunguka mji wa Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jeshi lote la Wakaldayo, chini ya mkuu wa askari walinzi wa mfalme, walivunja kuta zilizoizunguka Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jeshi lote la Wakaldayo, waliokuwa pamoja na huyo amiri wa askari walinzi, wakazibomoa kuta za Yerusalemu pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao askari wote wa Wakaldayo waliokuwa pamoja na kapteni na walinzi wa mfalme walizibomoa kuta zilizouzunguka mji wa Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jeshi lote la Wakaldayo chini ya jemadari wa jeshi la walinzi wa mfalme, wakavunja kuta zilizoizunguka Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jeshi lote la Wakaldayo, chini ya jemadari wa askari walinzi wa mfalme, walivunja kuta zilizoizunguka Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jeshi lote la Wakaldayo, waliokuwa pamoja na huyo kamanda wa askari walinzi, wakazibomoa kuta za Yerusalemu pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao askari wote wa Wakaldayo waliokuwa pamoja na kapteni na walinzi wa mfalme walizibomoa kuta zilizouzunguka mji wa Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha vikosi vyote vya Wakasidi waliokuwa na mkuu wao waliomlinda mfalme vikazibomoa kuta za boma lililouzunguka Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jeshi lote la Wakaldayo, waliokuwa pamoja na huyo amiri wa askari walinzi, wakazibomoa kuta za Yerusalemu pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao waaskari wote wa Babeli waliokuwa pamoja na mukubwa wa waaskari na walinzi wa mufalme walizibomoa kuta zilizouzunguka Yerusalema.