2 Kings 25:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini aliacha baadhi ya watu waliokuwa maskini kabisa nchini. Aliwaacha watunze mizabibu na kulima mashamba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini yule jemadari wa askari walinzi akawaacha baadhi ya wale watu maskini kabisa ili watunze mashamba ya mizabibu na mashamba mengine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini huyo amiri wa askari walinzi akawaacha watu walio maskini ili wawe watunza mizabibu na wakulima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini aliacha baadhi ya watu waliokuwa maskini kabisa nchini. Aliwaacha watunze mizabibu na kulima mashamba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini yule jemadari wa jeshi akawaacha baadhi ya wale watu maskini mno wa nchi ili kutunza mashamba ya mizabibu na mashamba mengine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini yule jemadari wa askari walinzi akawaacha baadhi ya wale watu maskini kabisa ili watunze mashamba ya mizabibu na mashamba mengine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini huyo kamanda wa askari walinzi akawaacha watu walio maskini ili wawe watunza mizabibu na wakulima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini aliacha baadhi ya watu waliokuwa maskini kabisa nchini. Aliwaacha watunze mizabibu na kulima mashamba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wanyonge wa nchi hii mkuu wao waliomlinda mfalme akawasaza, wengine waiangalie mizabibu, wengine walime tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini huyo amiri wa askari walinzi akawaacha watu walio maskini ili wawe watunza mizabibu na wakulima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini aliacha wamoja wa watu waliokuwa wamasikini kabisa katika inchi. Aliwaacha watunze mizabibu na kulima mashamba.