2 Kings 25:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vilevile walichukua vyungu, masepetu, makasi na miiko iliyotumiwa kuchomea ubani na vyombo vingine vyote vya shaba nyeusi vilivyotumiwa katika huduma ya hekalu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakachukua pia vyungu, masepetu, mikasi ya kusawazishia tambi, sahani na vyombo vyote vya shaba vilivyotumika katika huduma ya Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo masufuria, na majembe, na makasi, na miiko, na vyombo vyote vya shaba walivyokuwa wakivitumia, wakavichukua vyote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vilevile walichukua vyungu, masepetu, makasi na miiko iliyotumiwa kuchomea ubani na vyombo vingine vyote vya shaba nyeusi vilivyotumiwa katika huduma ya hekalu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakachukua pia vyungu, masepetu, mikasi ya kusawazishia utambi, vile vyombo vya udongo na vile vyombo vyote vya shaba vilivyotumika katika huduma hekaluni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakachukua pia vyungu, masepetu, mikasi ya kusawazishia tambi, sahani na vyombo vyote vya shaba vilivyotumika katika huduma ya Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo masufuria, na majembe, na makasi, na miiko, na vyombo vyote vya shaba walivyokuwa wakivitumia, wakavichukua vyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vilevile walichukua vyungu, masepetu, makasi na miiko iliyotumiwa kuchomea ubani na vyombo vingine vyote vya shaba nyeusi vilivyotumiwa katika huduma ya hekalu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata masufuria na majembe na makato ya kusafishia mishumaa na kata navyo vyombo vyote pia vya shaba vilivyotumiwa Nyumbani mwa Bwana wakavichukua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo masufuria, na majembe, na makasi, na miiko, na vyombo vyote vya shaba walivyokuwa wakivitumia, wakavichukua vyote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile walipeleka vyungu, majembe, makasi na miiko iliyotumiwa kwa kuchoma ubani na vyombo vingine vyote vya shaba nyeusi vilivyotumiwa katika kazi ya hekalu,