2 Kings 25:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakachukua na vyetezo na mabakuli. Kapteni wa walinzi wa mfalme alipeleka mbali kila chombo cha dhahabu na kila chombo cha fedha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkuu wa askari walinzi wa mfalme akachukua vile vyetezo na yale mabakuli ya kunyunyizia, vitu vyote vile vilivyokuwa vimetengenezwa kwa dhahabu safi au fedha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vyetezo, na mabakuli; vilivyokuwa vya dhahabu katika dhahabu, na vilivyokuwa vya fedha katika fedha, amiri wa askari walinzi akavichukua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakachukua na vyetezo na mabakuli. Kapteni wa walinzi wa mfalme alipeleka mbali kila chombo cha dhahabu na kila chombo cha fedha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule jemadari wa jeshi la walinzi wa mfalme akachukua vile vyetezo na yale mabakuli ya kunyunyizia, vitu vyote vile vilivyokuwa vimetengenezwa kwa dhahabu safi au fedha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jemadari wa askari walinzi wa mfalme akachukua vile vyetezo na yale mabakuli ya kunyunyizia, vitu vyote vile vilivyokuwa vimetengenezwa kwa dhahabu safi au fedha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na vyetezo, na mabakuli; vilivyokuwa vya dhahabu katika dhahabu, na vilivyokuwa vya fedha katika fedha, kamanda wa askari walinzi akavichukua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakachukua na vyetezo na mabakuli. Kapteni wa walinzi wa mfalme alipeleka mbali kila chombo cha dhahabu na kila chombo cha fedha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo sinia na vyano vilivyokuwa vya dhahabu tupu navyo vilivyokuwa vya fedha tupu, mkuu wao waliomlinda mfalme akavichukua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vyetezo, na mabakuli; vilivyokuwa vya dhahabu katika dhahabu, na vilivyokuwa vya fedha katika fedha, amiri wa askari walinzi akavichukua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakapeleka vyetezo na mabakuli. Mukubwa wa waaskari walinzi wa mufalme akapeleka mbali kila chombo cha zahabu na kila chombo cha feza.