2 Kings 25:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mji uliendelea kuzingirwa mpaka mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mji ulizingirwa na jeshi hadi mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Mfalme Sedekia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mji huo ulihusuriwa hata mwaka wa kumi na moja wa mfalme Sedekia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mji uliendelea kuzingirwa mpaka mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mji ulizungukwa na jeshi mpaka mwaka wa kumi na moja wa Mfalme Sedekia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mji ulizungukwa na jeshi mpaka mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Mfalme Sedekia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mji huo ulihusuriwa hata mwaka wa kumi na moja wa mfalme Sedekia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mji uliendelea kuzingirwa mpaka mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Sedekia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mji ukaja kusongwa hivyo na kuzingwa mpaka mwaka wa 11 wa mfalme Sedekia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mji huo ulihusuriwa hata mwaka wa kumi na moja wa mfalme Sedekia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muji uliendelea kuzungukwa mpaka mwaka wa kumi na moja wa utawala wa Zedekia.