2 Kings 25:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nebuzaradani kapteni wa walinzi aliwachukua watu hao, akawapeleka kwa mfalme wa Babuloni huko Ribla.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nebuzaradani jemadari akawachukua hao wote na kuwapeleka kwa mfalme wa Babeli huko Ribla.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, akawatwaa hao, akawaleta kwa mfalme wa Babeli huko Ribla.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nebuzaradani kapteni wa walinzi aliwachukua watu hao, akawapeleka kwa mfalme wa Babuloni huko Ribla.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nebuzaradani jemadari wa jeshi akawachukua hao wote akawaleta kwa mfalme wa Babeli huko Ribla.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nebuzaradani jemadari akawachukua hao wote na kuwapeleka kwa mfalme wa Babeli huko Ribla.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Nebuzaradani, kamanda wa askari walinzi, akawatwaa hao, akawaleta kwa mfalme wa Babeli huko Ribla.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nebuzaradani kapteni wa walinzi aliwachukua watu hao, akawapeleka kwa mfalme wa Babuloni huko Ribla.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao akawachukua Nebuzaradani, mkuu wao waliomlinda mfalme, akawapeleka Ribula kwa mfalme wa Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Nebuzaradani, amiri wa askari walinzi, akawatwaa hao, akawaleta kwa mfalme wa Babeli huko Ribla.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nebuzaradani mukubwa wa waaskari walinzi akawatwaa watu hao, akawapeleka kwa mufalme wa Babeli kule Ribla.