2 Kings 25:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Gedalia aliapa mbele yao na watu wao, akasema, “Msiogope kwa sababu ya maofisa wa Wakaldayo. Kaeni nchini mumtumikie mfalme wa Babuloni na mambo yote yatawaendea vema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gedalia akaapa ili kuwatia moyo wao na watu wao. Akasema, “Msiwaogope maafisa wa Wakaldayo. Kaeni katika nchi na kumtumikia mfalme wa Babeli, na itakuwa vyema kwenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Gedalia akawaapia wao na watu wao, akawaambia, Msiogope kwa ajili ya watumishi wa Wakaldayo; kaeni katika nchi; mkamtumikie mfalme wa Babeli; itakuwa vyema kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Gedalia aliapa mbele yao na watu wao, akasema, “Msiogope kwa sababu ya maofisa wa Wakaldayo. Kaeni nchini mumtumikie mfalme wa Babuloni na mambo yote yatawaendea vema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gedalia akaapa kuwahakikishia wao na watu wao. Akasema, “Msiwaogope maafisa wa Kikaldayo. Kaeni katika nchi na mtumikieni mfalme wa Babeli, na itakuwa vyema kwenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gedalia akaapa ili kuwatia moyo wao na watu wao. Akasema, “Msiwaogope maafisa wa Kikaldayo. Kaeni katika nchi na kumtumikia mfalme wa Babeli, na itakuwa vyema kwenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Gedalia akawaapia wao na watu wao, akawaambia, Msiogope kwa ajili ya watumishi wa Wakaldayo; kaeni katika nchi; mkamtumikie mfalme wa Babeli; itakuwa vyema kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Gedalia aliapa mbele yao na watu wao, akasema, “Msiogope kwa sababu ya maofisa wa Wakaldayo. Kaeni nchini mumtumikie mfalme wa Babuloni na mambo yote yatawaendea vema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waume hawa na watu wao Gedalia akawaapia na kuwaambia: Msiwaogope watumishi wa Wakasidi! Kaeni katika nchi hii na kumtumikia mfalme wa Babeli! Ndipo, mtakapoona mema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Gedalia akawaapia wao na watu wao, akawaambia, Msiogope kwa ajili ya watumishi wa Wakaldayo; kaeni katika nchi; mkamtumikie mfalme wa Babeli; itakuwa vyema kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Gedalia aliapa mbele yao na watu wao, akasema: “Musiogope kwa sababu ya wakubwa wa Wababeli. Mukae katika inchi mumutumikie mufalme wa Babeli na mambo yote yatawaendekea vema.”