2 Kings 25:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliongea naye vizuri na kumpa nafasi ya heshima kuliko wafalme wengine waliokuwa pamoja naye huko Babuloni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alizungumza naye kwa upole na kumpa kiti cha heshima kuliko wafalme wengine aliokuwa nao huko Babeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema naye maneno mazuri, akaweka kiti chake cha enzi juu ya viti vya enzi vya wafalme waliokuwa pamoja naye huko Babeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliongea naye vizuri na kumpa nafasi ya heshima kuliko wafalme wengine waliokuwa pamoja naye huko Babuloni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akazungumza naye kwa wema na akampa kiti cha heshima kilicho juu kuliko cha wale wafalme wengine waliokuwa naye huko Babeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alizungumza naye kwa upole na kumpa kiti cha heshima zaidi kuliko wale wafalme wengine aliokuwa nao huko Babeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema naye maneno mazuri, akaweka kiti chake cha enzi juu ya viti vya enzi vya wafalme waliokuwa pamoja naye huko Babeli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliongea naye vizuri na kumpa nafasi ya heshima kuliko wafalme wengine waliokuwa pamoja naye huko Babuloni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akasema naye maneno mema, akampa kiti chake cha kifalme juu ya viti vya wafalme wengine waliokuwa naye huko Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema naye maneno mazuri, akaweka kiti chake cha enzi juu ya viti vya enzi vya wafalme waliokuwa pamoja naye huko Babeli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliongea naye vizuri na kumupa nafasi ya heshima kuliko wafalme wengine waliokuwa pamoja naye kule Babeli.