2 Kings 25:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yehoyakini alibadili mavazi yake ya kifungoni. Kila siku alikuwa anapata daima chakula chake kwa mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Yehoyakini akayavua mavazi yake ya gerezani, na siku zote za maisha yake zilizobaki alikula mezani mwa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye akambadilishia mavazi yake ya gerezani, akala chakula mbele yake daima, siku zote za maisha yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yehoyakini alibadili mavazi yake ya kifungoni. Kila siku alikuwa anapata daima chakula chake kwa mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Yehoyakini akayavua yale mavazi yake ya kufungwa na kwa maisha yake yote, akawa anakula mezani mwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Yehoyakini akayavua mavazi yake ya mfungwa, na siku zote za maisha yake zilizobaki alikula mezani mwa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye akambadilishia mavazi yake ya gerezani, akala chakula mbele yake daima, siku zote za maisha yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yehoyakini alibadili mavazi yake ya kifungoni. Kila siku alikuwa anapata daima chakula chake kwa mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipoyavua mavazi ya kifungoni, akala chakula usoni pa mfalme pasipo kukoma siku zote, alizokuwapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye akambadilishia mavazi yake ya gerezani, akala chakula mbele yake daima, siku zote za maisha yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yoyakini akabadilisha nguo zake za mufungwa. Kila siku alikuwa anapata chakula chake kwa mufalme siku zote za maisha yake.