2 Kings 25:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne njaa ilikuwa kali sana mjini hata hapakuwapo chakula chochote kwa ajili ya wakazi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilipofika siku ya tisa ya mwezi wa nne, njaa ikazidi kuwa kali sana ndani ya mji, hadi hapakuwa na chakula kwa ajili ya watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya kenda ya mwezi wa nne njaa ilikuwa nzito ndani ya mji, hata hapakuwa na chakula kwa watu wa nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne njaa ilikuwa kali sana mjini hata hapakuwapo chakula chochote kwa ajili ya wakazi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kufikia siku ya tisa ya mwezi wa nne njaa ilizidi kuwa kali sana ndani ya mji, hapakuwa na chakula kwa ajili ya watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilipowadia siku ya tisa ya mwezi wa nne, njaa ikazidi kuwa kali sana ndani ya mji, hadi hapakuwa na chakula kwa ajili ya watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya tisa ya mwezi wa nne njaa ilikuwa nzito ndani ya mji, hata hapakuwa na chakula kwa watu wa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika siku ya tisa ya mwezi wa nne njaa ilikuwa kali sana mjini hata hapakuwapo chakula chochote kwa ajili ya wakazi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya tisa ya mwezi wa nne njaa ikazidi mle mjini, watu wa nchi hii hawakuwa na vyakula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya kenda ya mwezi wa nne njaa ilikuwa nzito ndani ya mji, hata hapakuwa na chakula kwa watu wa nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku ya tisa ya mwezi wa ine njaa ilikuwa kali sana katika muji hata hakukuwa chakula chochote kwa ajili ya wakaaji wake.