2 Kings 25:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini jeshi la Wakaldayo lilimfuatia mfalme na kumteka kwenye tambarare za Yeriko, nao askari wake wote walimwacha, wakatawanyika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini jeshi la Wakaldayo likamfuatia mfalme na kumpata katika nchi tambarare za Yeriko. Askari wake wote wakatengwa naye na kutawanyika,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini jeshi la Wakaldayo wakamfuatia mfalme, wakampata katika nchi tambarare ya Yeriko; na jeshi lake lote walikuwa wametawanyika na kumwacha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini jeshi la Wakaldayo lilimfuatia mfalme na kumteka kwenye tambarare za Yeriko, nao askari wake wote walimwacha, wakatawanyika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini jeshi la Wakaldayo likamfuatilia mfalme na kumkuta katika sehemu tambarare za Yeriko. Askari wake wote wakajitenga naye na kutawanyika,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini jeshi la Wakaldayo likamfuatia mfalme na kumpata katika sehemu tambarare za Yeriko. Askari wake wote wakatengwa naye na kutawanyika,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini jeshi la Wakaldayo wakamfuatia mfalme, wakampata katika nchi tambarare ya Yeriko; na jeshi lake lote walikuwa wametawanyika na kumwacha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini jeshi la Wakaldayo lilimfuatia mfalme na kumteka kwenye tambarare za Yeriko, nao askari wake wote walimwacha, wakatawanyika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha vikosi vya Wakasidi vikamfuata mfalme na kupiga mbio, vikampata katika nyika ya Yeriko, navyo vikosi vyake vyote vilikuwa vimetawanyika na kumwacha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini jeshi la Wakaldayo wakamfuatia mfalme, wakampata katika nchi tambarare ya Yeriko; na jeshi lake lote walikuwa wametawanyika na kumwacha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini waaskari wa Babeli wakamufuata mufalme na kumuteka kwenye bonde za Yeriko, nao waaskari wake wote wakamwacha, wakatawanyika.