2 Kings 25:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Wakaldayo walimteka mfalme, wakampeleka kwa mfalme wa Babuloni huko Ribla, naye akamhukumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye akakamatwa. Akapelekwa kwa mfalme wa Babeli huko Ribla, ambapo hukumu yake ilitangazwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wakamkamata mfalme, wakamchukua kwa mfalme wa Babeli huko Ribla; wakatoa hukumu juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Wakaldayo walimteka mfalme, wakampeleka kwa mfalme wa Babuloni huko Ribla, naye akamhukumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye akakamatwa. Akapelekwa kwa mfalme wa Babeli huko Ribla, mahali ambapo hukumu yake ilitangazwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye akakamatwa. Akapelekwa kwa mfalme wa Babeli huko Ribla, mahali ambapo hukumu yake ilitangazwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo wakamkamata mfalme, wakamchukua kwa mfalme wa Babeli huko Ribla; wakatoa hukumu juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Wakaldayo walimteka mfalme, wakampeleka kwa mfalme wa Babuloni huko Ribla, naye akamhukumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamkamata mfalme, wakampeleka kwa mfalme wa Babeli huko Ribula, wakasema naye na kumhukumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wakamkamata mfalme, wakamchukua kwa mfalme wa Babeli huko Ribla; wakatoa hukumu juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Wababeli wakamuteka mufalme, wakamupeleka kwa mufalme wao kule Ribla, naye akamuhukumu.