2 Kings 25:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu waliwaua wanawe akiona kwa macho yake mwenyewe, kisha wakamngoa macho yake. Mwishowe walimfunga kwa pingu, wakampeleka Babuloni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakawaua wana wa Sedekia mbele ya macho yake. Kisha wakayang’oa macho yake, wakamfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakawaua wana wa Sedekia mbele ya macho yake, wakampofusha macho Sedekia, wakamfunga kwa pingu, wakamchukua mpaka Babeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu waliwaua wanawe akiona kwa macho yake mwenyewe, kisha wakamng'oa macho yake. Mwishowe walimfunga kwa pingu, wakampeleka Babuloni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakawaua wanawe Sedekia mbele ya macho yake. Kisha wakayang'oa macho yake, wakamfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakawaua wana wa Sedekia mbele ya macho yake. Kisha wakayang’oa macho yake, wakamfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakawaua wana wa Sedekia mbele ya macho yake, wakampofusha macho Sedekia, wakamfunga kwa pingu, wakamchukua mpaka Babeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu waliwaua wanawe akiona kwa macho yake mwenyewe, kisha wakamngoa macho yake. Mwishowe walimfunga kwa pingu, wakampeleka Babuloni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanawe Sedekia wakawaua machoni pake, kisha wakayapofua macho yake Sedekia, wakamfunga kwa minyororo, wakampeleka Babeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakawaua wana wa Sedekia mbele ya macho yake, wakampofusha macho Sedekia, wakamfunga kwa pingu, wakamchukua mpaka Babeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wakawaua wana wa Zedekia mbele yake, kisha wakamwongoa macho yake. Kwa mwisho wakamufunga kwa minyororo, wakamupeleka Babeli.