2 Kings 3:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo mfalme wa Israeli akasema, “Ole wetu! Mwenyezi-Mungu ametukusanya sote wafalme watatu atutie mikononi mwa mfalme wa Moabu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme wa Israeli akapaza sauti, akasema, “Nini! Je, Mwenyezi Mungu ametuita sisi wafalme watatu ili tu kututia mikononi mwa Moabu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme wa Israeli akasema, Ole wetu! Kwani Bwana amewakutanisha hawa wafalme watatu, awaue mkononi mwa Moabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo mfalme wa Israeli akasema, “Ole wetu! Mwenyezi-Mungu ametukusanya sote wafalme watatu atutie mikononi mwa mfalme wa Moabu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme wa Israeli akamaka akisema, “Nini! Je, BWANA ametuita sisi wafalme watatu ili tu kututia mikononi mwa Moabu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme wa Israeli akamaka, “Nini! Je, bwana ametuita sisi wafalme watatu ili tu kututia mikononi mwa Moabu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme wa Israeli akasema, Ole wetu! Kwani BWANA amewakutanisha hawa wafalme watatu, awaue mkononi mwa Moabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo mfalme wa Israeli akasema, “Ole wetu! Mwenyezi-Mungu ametukusanya sote wafalme watatu atutie mikononi mwa mfalme wa Moabu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mfalme wa Waisiraeli aliposema: Yoi! Bwana amewaita hawa wafalme watatu, awatie mikononi mwa Wamoabu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme wa Israeli akasema, Ole wetu! Kwani BWANA amewakutanisha hawa wafalme watatu, awaue mkononi mwa Moabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo mufalme wa Israeli akasema: “Ole wetu! Yawe ametukusanya wote wafalme watatu atutie katika mikono ya mufalme wa Moabu.”