2 Kings 3:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoshafati akasema, “Huyo ni nabii wa kweli.” Kisha wafalme hao watatu wakamwendea Elisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoshafati akasema, “Neno la Mwenyezi Mungu liko pamoja naye.” Kwa hiyo mfalme wa Israeli na Yehoshafati pamoja na mfalme wa Edomu wakamwendea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoshafati akasema, Neno la Bwana analo huyu. Basi mfalme wa Israeli, na Yehoshafati, na mfalme wa Edomu, wakamshukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoshafati akasema, “Huyo ni nabii wa kweli.” Kisha wafalme hao watatu wakamwendea Elisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoshafati akasema, “Neno la BWANA liko pamoja naye.” Kwa hiyo mfalme wa Israeli na Yehoshafati pamoja na mfalme wa Edomu wakamwendea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoshafati akasema, “Neno la bwana liko pamoja naye.” Kwa hiyo mfalme wa Israeli na Yehoshafati pamoja na mfalme wa Edomu wakamwendea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoshafati akasema, Neno la BWANA analo huyu. Basi mfalme wa Israeli, na Yehoshafati, na mfalme wa Edomu, wakamshukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoshafati akasema, “Huyo ni nabii wa kweli.” Kisha wafalme hao watatu wakamwendea Elisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosafati akasema: Kwake yeye neno la Bwana liko. Ndipo, mfalme wa Waisiraeli na Yosafati na mfalme wa Waedomu waliposhuka kuja kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoshafati akasema, Neno la BWANA analo huyu. Basi mfalme wa Israeli, na Yehoshafati, na mfalme wa Edomu, wakamshukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosafati akasema: “Huyo ni nabii wa kweli.” Kisha wafalme hao watatu wakamwendea Elisha.