2 Kings 3:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sasa niletee mpiga kinanda.” Wakamletea mpiga kinanda. Ikawa alipopiga kinanda, nguvu ya Mwenyezi-Mungu ikamjia Elisha,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sasa, nileteeni mpiga kinubi.” Mpiga kinubi alipokuwa akipiga, mkono wa Mwenyezi Mungu ukaja juu ya Al-Yasa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila sasa niletee mpiga kinanda. Ikawa, mpiga kinanda alipokipiga, mkono wa Bwana ukamjia juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sasa niletee mpiga kinanda.” Wakamletea mpiga kinanda. Ikawa alipopiga kinanda, nguvu ya Mwenyezi-Mungu ikamjia Elisha,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sasa, nileteeni mpiga kinubi.” Mpiga kinubi alipokuwa akipiga, mkono wa BWANA ukaja juu ya Elisha,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sasa, nileteeni mpiga kinubi.” Mpiga kinubi alipokuwa akipiga, mkono wa bwana ukaja juu ya Al-Yasa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila sasa niletee mpiga kinanda. Ikawa, mpiga kinanda alipokipiga, mkono wa BWANA ukamjia juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sasa niletee mpiga kinanda.” Wakamletea mpiga kinanda. Ikawa alipopiga kinanda, nguvu ya Mwenyezi-Mungu ikamjia Elisha,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa nileteeni mpiga zeze! Ikawa, huyu mpiga zeze alipolipiga zeze lake, mara mkono wa Bwana ukamjia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila sasa niletee mpiga kinanda. Ikawa, mpiga kinanda alipokipiga, mkono wa BWANA ukamjia juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa uniletee mupiga kinanda.” Wakamuletea mupiga kinanda. Ikakuwa wakati alipopiga kinanda, nguvu ya Yawe ikamujaza Elisha,