2 Kings 3:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ingawa hamtaona upepo wala mvua, bonde litajaa maji, nanyi mtakunywa, nyinyi pamoja na ng'ombe wenu na wanyama wenu.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu: Hamtaona upepo wala mvua, lakini bonde hili litajaa maji, nanyi pamoja na ng’ombe wenu na wanyama wenu wengine mtakunywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana asema hivi, Hamutauona upepo, wala hamtaiona mvua, ila bonde hilo litajaa maji; nanyi mtakunywa, ninyi, na ng'ombe zenu, na wanyama wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ingawa hamtaona upepo wala mvua, bonde litajaa maji, nanyi mtakunywa, nyinyi pamoja na ng'ombe wenu na wanyama wenu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa hivi ndivyo asemavyo BWANA: Hamtaona upepo wala mvua, lakini bonde hili litajaa maji, nanyi pamoja na ng'ombe wenu na wanyama wenu wengine mtakunywa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa hivi ndivyo asemavyo bwana: Hamtaona upepo wala mvua, lakini bonde hili litajaa maji, nanyi pamoja na ng’ombe wenu na wanyama wenu wengine mtakunywa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA asema hivi, Hamtauona upepo, wala hamtaiona mvua, ila bonde hilo litajaa maji; nanyi mtakunywa, ninyi, na ng'ombe zenu, na wanyama wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ingawa hamtaona upepo wala mvua, bonde litajaa maji, nanyi mtakunywa, nyinyi pamoja na ng'ombe wenu na wanyama wenu.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hivi ndivyo, Bwana anavyosema: hamtaona upepo, wala hamtaona mvua, lakini bonde hili litajazwa maji, mpate kunywa ninyi nao mlio nao na nyama wenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA asema hivi, Hamutauona upepo, wala hamtaiona mvua, ila bonde hilo litajaa maji; nanyi mtakunywa, ninyi, na ng’ombe zenu, na wanyama wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ingawa hamutaona upepo wala mvua, bonde litajaa maji, nanyi mutakunywa, ninyi pamoja na ngombe wenu na nyama wenu.