2 Kings 3:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hili si jambo gumu kwa Mwenyezi-Mungu; yeye atawapeni pia ushindi juu ya Moabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ni jambo rahisi machoni pa Mwenyezi Mungu. Pia ataitia Moabu mikononi mwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jambo hili ni jepesi machoni pa Bwana; pia atawatia Wamoabi mikononi mwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hili si jambo gumu kwa Mwenyezi-Mungu; yeye atawapeni pia ushindi juu ya Moabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ni jambo rahisi machoni pa BWANA, ataitia Moabu mikononi mwenu pia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ni jambo rahisi machoni pa bwana. Pia ataitia Moabu mikononi mwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jambo hili ni jepesi machoni pa BWANA; pia atawatia Wamoabi mikononi mwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hili si jambo gumu kwa Mwenyezi-Mungu; yeye atawapeni pia ushindi juu ya Moabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo haya ni mepesi machoni pake Bwana, maana nao wamoabu atawatia mikononi mwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jambo hili ni jepesi machoni pa BWANA; pia atawatia Wamoabi mikononi mwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hili si jambo gumu kwa Yawe; yeye atawapa vilevile ushindi juu ya Moabu.