2 Kings 3:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wamoabu walipopata habari kwamba hao wafalme watatu wamekuja kuwashambulia, watu wote wawezao kuvaa silaha kuanzia vijana mpaka wazee, waliitwa, wakapewa silaha na kuwekwa mpakani tayari kwa vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Wamoabu wote walikuwa wamesikia kuwa wale wafalme wamekuja kupigana dhidi yao. Hivyo kila mtu, kijana na mzee, ambaye angeweza kushika silaha akaitwa na kuwekwa mpakani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Wamoabi wote waliposikia ya kuwa wafalme hao wamekwea ili kupigana nao, walijikusanya pamoja, wote wawezao kuvaa silaha, na wenye umri zaidi, wakasimama mpakani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wamoabu walipopata habari kwamba hao wafalme watatu wamekuja kuwashambulia, watu wote wawezao kuvaa silaha kuanzia vijana mpaka wazee, waliitwa, wakapewa silaha na kuwekwa mpakani tayari kwa vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Wamoabu wote walikuwa wamesikia kuwa wale wafalme wamekuja kupigana dhidi yao; hivyo kila mtu, kijana na mzee, ambaye angeweza kushika silaha akaitwa na kuwekwa kwenye mpaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Wamoabu wote walikuwa wamesikia kuwa wale wafalme wamekuja kupigana dhidi yao. Hivyo kila mtu, kijana na mzee, ambaye angeweza kushika silaha akaitwa na kuwekwa mpakani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Wamoabi wote waliposikia ya kuwa wafalme hao wamekwea ili kupigana nao, walijikusanya pamoja, wote wawezao kuvaa silaha, na wenye umri zaidi, wakasimama mpakani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wamoabu walipopata habari kwamba hao wafalme watatu wamekuja kuwashambulia, watu wote wawezao kuvaa silaha kuanzia vijana mpaka wazee, waliitwa, wakapewa silaha na kuwekwa mpakani tayari kwa vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamoabu wote waliposikia, ya kuwa hao wafalme wanawapandia kupigana nao, wakakusanywa wote walioweza kujivika mata nao walio wazee, wakajipanga kuusimamia mpaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Wamoabi wote waliposikia ya kuwa wafalme hao wamekwea ili kupigana nao, walijikusanya pamoja, wote wawezao kuvaa silaha, na wenye umri zaidi, wakasimama mpakani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamoabu walipopata habari kwamba hao wafalme watatu wamekuja kuwashambulia, watu wote walioweza kubeba silaha kuanzia vijana mpaka wazee, waliitwa, wakapewa silaha na kuwekwa kwenye mupaka tayari kwa vita.