2 Kings 3:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipoamka asubuhi iliyofuata, jua lilikuwa linametameta juu ya maji hayo; walipoyatazama yakaonekana kuwa mekundu kama damu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipoamka asubuhi na mapema, jua likawa linamulika juu ya maji. Wamoabu waliokuwa upande wa pili wakaona maji ni mekundu, kama damu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaamka asubuhi na mapema, na hilo jua likameta-meta juu ya maji, na Wamoabi wakayaona yale maji yaliyowaelekea kuwa ni mekundu kama damu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipoamka asubuhi iliyofuata, jua lilikuwa linametameta juu ya maji hayo; walipoyatazama yakaonekana kuwa mekundu kama damu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipoamka asubuhi na mapema, jua likawa linamulika juu ya maji. Wamoabu waliokuwa upande wa pili, wakaona maji ni mekundu, kama damu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipoamka asubuhi na mapema, jua likawa linamulika juu ya maji. Wamoabu waliokuwa upande wa pili wakaona maji ni mekundu, kama damu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaamka asubuhi na mapema, na hilo jua likametameta juu ya maji, na Wamoabi wakayaona yale maji yaliyowaelekea kuwa ni mekundu kama damu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipoamka asubuhi iliyofuata, jua lilikuwa linametameta juu ya maji hayo; walipoyatazama yakaonekana kuwa mekundu kama damu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaamka na mapema, jua lilipochomoza juu ya yale maji; ndipo, Wamoabu walipoyaona yale maji mbele yao kuwa mekundu kama damu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaamka asubuhi na mapema, na hilo jua likameta-meta juu ya maji, na Wamoabi wakayaona yale maji yaliyowaelekea kuwa ni mekundu kama damu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipoamuka asubui iliyofuata, jua lilikuwa linametameta juu ya maji hayo; walipoyaangalia yakaonekana kuwa mekundu kama damu.