2 Kings 3:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakasema, “Hii ni damu! Bila shaka hawa wafalme watatu wamepigana wao kwa wao na kuuana! Twendeni tukachukue nyara!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamoabu wakasema, “Ile ni damu! Lazima hao wafalme wamepigana na kuchinjana wao kwa wao. Sasa Moabu, twendeni tukateke nyara!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasema, Ndiyo damu hii; bila shaka hao wafalme wameharibika, wamepigana kila mtu na mwenziwe; basi sasa, enyi Wamoabi, nyara hizo!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakasema, “Hii ni damu! Bila shaka hawa wafalme watatu wamepigana wao kwa wao na kuuana! Twendeni tukachukue nyara!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wamoabu wakasema, “Ile ni damu! Lazima wafalme watakuwa wamepigana na kuchinjana wao kwa wao. Sasa Moabu, twendeni tukateke nyara!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wamoabu wakasema, “Ile ni damu! Lazima hao wafalme wamepigana na kuchinjana wao kwa wao. Sasa Moabu, twendeni tukateke nyara!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasema, Ndiyo damu hii; bila shaka hao wafalme wameharibika, wamepigana wenyewe kwa wenyewe; basi sasa, enyi Wamoabi, nyara hizo!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakasema, “Hii ni damu! Bila shaka hawa wafalme watatu wamepigana wao kwa wao na kuuana! Twendeni tukachukue nyara!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakasema: Ni damu hizo; kumbe hao wafalme wamekosana, wakauana kila mtu na mwenzake. Sasa ninyi Wamoabu, haya! Chukueni nyara!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasema, Ndiyo damu hii; bila shaka hao wafalme wameharibika, wamepigana kila mtu na mwenziwe; basi sasa, enyi Wamoabi, nyara hizo!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakasema: “Hii ni damu! Bila shaka hawa wafalme watatu wamepigana wao kwa wao na kuuana! Tuende tunyanganye vitu vyao!”