2 Kings 3:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuibomoa miji yao. Kila walipopita penye shamba zuri, kila mtu alilirushia jiwe mpaka kila shamba likajaa mawe; kadhalika wakaziziba chemchemi zote za maji na kukata miti yote mizuri. Hatimaye, ukabaki mji mkuu wa Kir-haresethi peke yake, ambao pia wapiga kombeo waliuzingira na kuuteka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaiharibu miji, kila mtu akatupa jiwe juu ya kila shamba zuri hadi likafunikwa. Wakaziba chemchemi zote na kukata kila mti mzuri. Kir-Haresethi peke yake ndio uliobaki na mawe yake yakiwa mahali pake. Lakini hata hivyo watu waliokuwa na makombeo wakauzunguka na kuushambulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaibomoa ile miji; wakatupa katika kila mahali palipo pema kila mtu jiwe lake, wakapajaza; wakaziziba chemchemi zote za maji, wakaikata miti yote iliyo mizuri; mpaka katika Kir-haresethi tu wakayasaza mawe yake; ila wenye kombeo wakauzunguka wakaupiga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuibomoa miji yao. Kila walipopita penye shamba zuri, kila mtu alilirushia jiwe mpaka kila shamba likajaa mawe; kadhalika wakaziziba chemchemi zote za maji na kukata miti yote mizuri. Hatimaye, ukabaki mji mkuu wa Kir-haresethi peke yake, ambao pia wapiga kombeo waliuzingira na kuuteka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaiharibu miji, kila mtu akatupa jiwe juu ya kila shamba zuri mpaka likafunikwa. Wakaziba chemchemi zote na kukata kila mti mzuri. Kir-Haresethi peke yake ndio uliobaki na mawe yake yakiwa mahali pake, lakini hata hivyo watu waliokuwa na makombeo wakauzunguka na kuushambulia vile vile.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaiharibu miji, kila mtu akatupa jiwe juu ya kila shamba zuri mpaka likafunikwa. Wakaziba chemchemi zote na kukata kila mti mzuri. Kir-Haresethi peke yake ndio uliobaki na mawe yake yakiwa mahali pake. Lakini hata hivyo watu waliokuwa na makombeo wakauzunguka na kuushambulia vilevile.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaibomoa ile miji; wakatupa katika kila mahali palipo pema kila mtu jiwe lake, wakapajaza; wakaziziba chemchemi zote za maji, wakaikata miti yote iliyo mizuri; mpaka katika Kir-haresethi tu wakayasaza mawe yake; ila wenye kombeo wakauzunguka wakaupiga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuibomoa miji yao. Kila walipopita penye shamba zuri, kila mtu alilirushia jiwe mpaka kila shamba likajaa mawe; kadhalika wakaziziba chemchemi zote za maji na kukata miti yote mizuri. Hatimaye, ukabaki mji mkuu wa Kir-haresethi peke yake, ambao pia wapiga kombeo waliuzingira na kuuteka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaibomoa miji, tena penye mashamba mazuri wakayatupia kila mtu jiwe lake, hivyo wakayajaza mawe, navyo visima vyote vya maji wakavifukia, hata miti mizuri yote wakaikata, hawakusaza mji, ni boma la mawe la Kiri-Hareseti peke yake tu. Huu nao wapiga makombeo wakauzunguka, waupige.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaibomoa ile miji; wakatupa katika kila mahali palipo pema kila mtu jiwe lake, wakapajaza; wakaziziba chemchemi zote za maji, wakaikata miti yote iliyo mizuri; mpaka katika Kir-haresethi tu wakayasaza mawe yake; ila wenye kombeo wakauzunguka wakaupiga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kuibomoa miji yao. Kila nafasi walipopita kwenye shamba zuri, kila mutu alilirushia jiwe mpaka kila shamba likajaa mawe; vilevile wakaziziba chemichemi zote za maji na kukata miti yote mizuri. Nyuma ya hayo, kukabaki muji mukubwa wa Kiri-Haraseti peke yake, ambao waaskari wapiga-kombeo waliuzunguka na kuuteka.