2 Kings 3:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo mfalme Yoramu akaondoka Samaria, akakusanya jeshi lote la Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo wakati ule Mfalme Yehoramu akaondoka kutoka Samaria na kukusanya Israeli yote tayari kwenda vitani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatoka wakati ule ule mfalme Yoramu katika Samaria, akawahesabu Israeli wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo mfalme Yoramu akaondoka Samaria, akakusanya jeshi lote la Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo kwa wakati ule Mfalme Yehoramu akaondoka kutoka Samaria na kukusanya tayari Israeli yote kwenda vitani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wakati ule Mfalme Yehoramu akaondoka kutoka Samaria na kukusanya Israeli yote tayari kwenda vitani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatoka wakati ule ule mfalme Yoramu katika Samaria, akawahesabu Israeli wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo mfalme Yoramu akaondoka Samaria, akakusanya jeshi lote la Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo mfalme Yoramu akatoka Samaria kuwakagua Waisiraeli wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatoka wakati ule ule mfalme Yoramu katika Samaria, akawahesabu Israeli wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo mufalme Yoramu akaondoka Samaria, akakusanya waaskari wote wa Israeli.