2 Kings 3:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, tutashambulia kutoka upande gani?” Yoramu akajibu, “Tutashambulia kutoka jangwa la Edomu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akauliza, “Je, tutashambulia kupitia njia gani?” Akajibu, “Kupitia Jangwa la Edomu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akauliza, Njia ipi tuiendee? Akajibu, Njia ya jangwa la Edomu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, tutashambulia kutoka upande gani?” Yoramu akajibu, “Tutashambulia kutoka jangwa la Edomu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akauliza, “Je, tutashambulia kupitia njia gani?” Akajibu, “Kupitia Jangwa la Edomu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akauliza, “Je, tutashambulia kupitia njia gani?” Akajibu, “Kupitia Jangwa la Edomu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akauliza, Njia ipi tuiendee? Akajibu, Njia ya jangwa la Edomu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, tutashambulia kutoka upande gani?” Yoramu akajibu, “Tutashambulia kutoka jangwa la Edomu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipouliza: Tupande na kushika njia ipi? akasema: Njia ya nyika ya Edomu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akauliza, Njia ipi tuiendee? Akajibu, Njia ya jangwa la Edomu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tutashambulia kutokea upande gani?” Yoramu akajibu: “Tutashambulia kutokea jangwa la Edomu.”