2 Kings 4:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbona basi tusimjengee chumba na huko tumwekee kitanda, meza, kiti na taa, ili akitumie kila anapotutembelea?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tutengeneze chumba kidogo juu darini na tuweke ndani yake kitanda na meza, kiti na taa kwa ajili yake. Kisha anaweza kukaa humo kila mara akija kwetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakuomba, tumfanyie chumba kidogo ukutani; na ndani yake tumwekee kitanda, na meza, na kiti, na kinara cha taa; na itakuwa, atujiapo, ataingia humo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbona basi tusimjengee chumba na huko tumwekee kitanda, meza, kiti na taa, ili akitumie kila anapotutembelea?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tutengeneze chumba kidogo juu darini na tuweke ndani yake kitanda na meza, kiti na taa kwa ajili yake. Kisha anaweza kukaa humo kila mara akija kwetu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tutengeneze chumba kidogo juu darini na tuweke ndani yake kitanda na meza, kiti na taa kwa ajili yake. Kisha anaweza kukaa humo kila mara akija kwetu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nakuomba, tumfanyie chumba kidogo ukutani; na ndani yake tumwekee kitanda, na meza, na kiti, na kinara cha taa; na itakuwa, atujiapo, ataingia humo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbona basi tusimjengee chumba na huko tumwekee kitanda, meza, kiti na taa, ili akitumie kila anapotutembelea?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na tumtengenezee darini chumba kidogo, tukaweke mle kitanda na meza na kiti na taa, kila atakapokuja kwetu afikie mlemle.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakuomba, tumfanyie chumba kidogo ukutani; na ndani yake tumwekee kitanda, na meza, na kiti, na kinara cha taa; na itakuwa, atujiapo, ataingia humo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakuomba basi tumujengee chumba na kule tumwekee kitanda, meza, kiti na taa, kusudi akitumie kila mara anapotutembelea.”