2 Kings 4:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku moja Elisha akaja huko na kuingia chumbani mwake ili apumzike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku moja Al-Yasa alipofika, akapanda chumbani kwake na kulala humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa siku moja akafika huko, akaingia katika chumba kile akalala.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku moja Elisha akaja huko na kuingia chumbani mwake ili apumzike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku moja Elisha alipokuja, akapanda chumbani kwake na kulala humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku moja Al-Yasa alipofika, akapanda chumbani kwake na kulala humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa siku moja akafika huko, akaingia katika chumba kile akalala.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku moja Elisha akaja huko na kuingia chumbani mwake ili apumzike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa siku nyingine, alipokuja huko akafikia mle chumbani, akalala humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa siku moja akafika huko, akaingia katika chumba kile akalala.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja Elisha akafika kule na kuingia ndani ya chumba chake kusudi apumzike.