2 Kings 4:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akamwuliza mtumishi wake Gehazi, “Mwite huyu mama Mshunami.” Alipomwita alikuja na kusimama mbele yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwambia mtumishi wake Gehazi, “Mwite huyo Mshunami.” Hivyo akamwita, naye akaja akasimama mbele yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia Gehazi mtumishi wake, Mwite yule Mshunami. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mbele yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akamwuliza mtumishi wake Gehazi, “Mwite huyu mama Mshunami.” Alipomwita alikuja na kusimama mbele yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia mtumishi wake Gehazi, “Mwite huyo Mshunami.” Hivyo akamwita naye akaja akasimama mbele yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwambia mtumishi wake Gehazi, “Mwite huyo Mshunami.” Hivyo akamwita, naye akaja akasimama mbele yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia Gehazi mtumishi wake, Mwite yule Mshunami. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mbele yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akamwuliza mtumishi wake Gehazi, “Mwite huyu mama Mshunami.” Alipomwita alikuja na kusimama mbele yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia mtoto wake Gehazi: Mwite huyo mwanamke wa Sunemu! Akamwita, naye akaja kusimama mbele yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia Gehazi mtumishi wake, Mwite yule Mshunami. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mbele yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamwambia mutumishi wake Gehazi: “Umwite yule mama Musunami.” Alipomwita akakuja na kusimama mbele yake.