2 Kings 4:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha akasema, “Tumfanyie nini basi?” Gehazi akamjibu, “Hakika hana mtoto, na mumewe amekuwa mzee.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Al-Yasa akamuuliza mtumishi wake, “Je, ni nini kinachoweza kufanyika kwa ajili yake?” Gehazi akasema, “Hakika, hana mwana, na mume wake ni mzee.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Basi, atendewe nini? Gehazi akajibu, Hakika hana mwana, na mumewe ni mzee.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha akasema, “Tumfanyie nini basi?” Gehazi akamjibu, “Hakika hana mtoto, na mumewe amekuwa mzee.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elisha akamwambia mtumishi wake, “Je, ni nini kinachoweza kufanyika kwa ajili yake?” Gehazi akasema, “Vyema, hana mwana na mume wake ni mzee.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Al-Yasa akamwambia mtumishi wake, “Je, ni nini kinachoweza kufanyika kwa ajili yake?” Gehazi akasema, “Hakika, hana mwana, na mume wake ni mzee.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Basi, atendewe nini? Gehazi akajibu, Hakika hana mwana, na mumewe ni mzee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha akasema, “Tumfanyie nini basi?” Gehazi akamjibu, “Hakika hana mtoto, na mumewe amekuwa mzee.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipouliza tena: Nimfanyie nini? Gehazi akajibu: Hana mtoto. Naye mumewe ni mzee.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Basi, atendewe nini? Gehazi akajibu, Hakika hana mwana, na mumewe ni mzee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akasema: “Tumufanyie nini basi?” Gehazi akamujibu: “Hakika hana mutoto, na mume wake amekuwa muzee.”