2 Kings 4:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha akamwambia, “Mwite.” Naye akamwita. Akaja na kusimama mlangoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Al-Yasa akasema, “Mwite huyo mwanamke.” Kwa hiyo akamwita, naye akaja akasimama mlangoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Kamwite. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mlangoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha akamwambia, “Mwite.” Naye akamwita. Akaja na kusimama mlangoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Elisha akasema, “Mwite huyo mwanamke.” Kwa hiyo akamwita, naye akaja akasimama mlangoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Al-Yasa akasema, “Mwite huyo mwanamke.” Kwa hiyo akamwita, naye akaja akasimama mlangoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Kamwite. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mlangoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha akamwambia, “Mwite.” Naye akamwita. Akaja na kusimama mlangoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akasema: Mwite! Alipomwita, akaja, akasimama mlangoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Kamwite. Naye alipokwisha kuitwa, akasimama mlangoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akamwambia: “Umwite.” Naye akamwita. Akakuja na kusimama kwenye mulango.