2 Kings 4:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtoto huyo alipokua, alitoka siku moja pamoja na baba yake akafuatana na wavunaji,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtoto akakua, naye siku moja akamwendea baba yake, aliyekuwa pamoja na wavunaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata yule mtoto alipokua, ikawa siku moja alitoka kwenda kwa baba yake kwenye wavunao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtoto huyo alipokua, alitoka siku moja pamoja na baba yake akafuatana na wavunaji,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtoto akakua, naye siku moja akamwendea baba yake, ambaye alikuwa pamoja na wavunaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtoto akakua, naye siku moja akamwendea baba yake, ambaye alikuwa pamoja na wavunaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata yule mtoto alipokua, ikawa siku moja alitoka kwenda kwa baba yake kwa wavunao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtoto huyo alipokua, alitoka siku moja pamoja na baba yake akafuatana na wavunaji,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtoto alipokua, siku moja akatoka kwenda kwa baba yake shambani kwenye wavunaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata yule mtoto alipokua, ikawa siku moja alitoka kwenda kwa baba yake kwenye wavunao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutoto yule alipokomaa, alitoka siku moja pamoja na baba yake akafuatana na wavunaji,