2 Kings 4:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye akamwambia baba yake, “Ole, kichwa changu! Naumwa na kichwa!” Baba yake akamwambia mtumishi wake mmoja, “Mpeleke kwa mama yake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwambia baba yake, “Kichwa changu! Kichwa changu!” Baba yake akamwambia mtumishi, “Mchukue umpeleke kwa mama yake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia baba yake, Kichwa changu! Kichwa changu! Naye akamwambia mtumishi wake, Mchukue kwa mama yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye akamwambia baba yake, “Ole, kichwa changu! Naumwa na kichwa!” Baba yake akamwambia mtumishi wake mmoja, “Mpeleke kwa mama yake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia baba yake, “Kichwa changu! Kichwa changu!” Baba yake akamwambia mtumishi, “Mchukue umpeleke kwa mama yake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwambia baba yake, “Kichwa changu! Kichwa changu!” Baba yake akamwambia mtumishi, “Mchukue umpeleke kwa mama yake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia baba yake, Kichwa changu! Kichwa changu! Naye akamwambia mtumishi wake, Mchukue kwa mama yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye akamwambia baba yake, “Ole, kichwa changu! Naumwa na kichwa!” Baba yake akamwambia mtumishi wake mmoja, “Mpeleke kwa mama yake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mara akamwambia baba yake: Kichwa changu! Kichwa changu! Ndipo, alipomwambia kijana: Mpeleke kwa mama yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia baba yake, Kichwa changu! Kichwa changu! Naye akamwambia mtumishi wake, Mchukue kwa mama yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
naye akamwambia baba yake: “Ole, kichwa changu! Ninaumwa na kichwa!” Baba yake akamwambia mutumishi wake mumoja: “Umupeleke kwa mama yake.”