2 Kings 4:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipofikishwa kwa mama yake, alikaa juu ya magoti ya mama yake mpaka adhuhuri, halafu akafa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya mtumishi kumbeba na kumpeleka kwa mama yake, mtoto akaketi mapajani mwa mama yake hadi adhuhuri, kisha akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamchukua, akampeleka kwa mama yake, naye akakaa magotini mwake hata adhuhuri, kisha akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipofikishwa kwa mama yake, alikaa juu ya magoti ya mama yake mpaka adhuhuri, halafu akafa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya mtumishi kumbeba na kumpeleka kwa mama yake, mtoto akaketi mapajani mwa mama yake mpaka adhuhuri, kisha akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya mtumishi kumbeba na kumpeleka kwa mama yake, mtoto akaketi mapajani mwa mama yake mpaka adhuhuri, kisha akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamchukua, akampeleka kwa mama yake, naye akakaa magotini mwake hata adhuhuri, kisha akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipofikishwa kwa mama yake, alikaa juu ya magoti ya mama yake mpaka adhuhuri, halafu akafa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamchukua, akampeleka kwa mama yake, akakaa magotini kwake mpaka saa sita; ndipo, alipokufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamchukua, akampeleka kwa mama yake, naye akakaa magotini mwake hata adhuhuri, kisha akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipofikishwa kwa mama yake, aliikaa juu ya magoti ya mama yake mpaka saa sita za muchana, halafu akakufa.