2 Kings 4:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mama yake akampeleka na kumlaza kitandani mwa mtu wa Mungu, akaufunga mlango na kuondoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mama akampandisha na kumlaza juu ya kitanda cha yule mtu wa Mungu, kisha akafunga mlango, akatoka nje.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mamaye akapanda juu, akamlaza juu ya kitanda cha yule mtu wa Mungu, akamfungia mlango, akatoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mama yake akampeleka na kumlaza kitandani mwa mtu wa Mungu, akaufunga mlango na kuondoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mama akampandisha na kumlaza juu ya kitanda cha yule mtu wa Mungu, kisha akafunga mlango, akatoka nje.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mama akampandisha na kumlaza juu ya kitanda cha yule mtu wa Mungu, kisha akafunga mlango, akatoka nje.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mamaye akapanda juu, akamlaza juu ya kitanda cha yule mtu wa Mungu, akamfungia mlango, akatoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mama yake akampeleka na kumlaza kitandani mwa mtu wa Mungu, akaufunga mlango na kuondoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akampeleka juu, akamlaza kitandani pake yule mtu wa Mungu, akafunga mlango nyuma yake, akatoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mamaye akapanda juu, akamlaza juu ya kitanda cha yule mtu wa Mungu, akamfungia mlango, akatoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mama yake akamupeleka na kumulalisha kwenye kitanda cha mutu wa Mungu, akaufunga mulango na kuondoka.