2 Kings 4:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akamwita mumewe na kumwambia, “Nipe mtumishi mmoja na punda mmoja, ili nimwendee mara moja yule mtu wa Mungu, kisha nitarudi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwita mume wake na kusema, “Tafadhali mtume mmoja miongoni mwa mtumishi pamoja na punda ili niweze kwenda kwa mtu wa Mungu haraka na kurudi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akamwita mumewe, akasema, Tafadhali, uniletee mtu mmoja wa watumishi, na punda mmoja, ili nimwendee yule mtu wa Mungu kwa haraka, nikarudi tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akamwita mumewe na kumwambia, “Nipe mtumishi mmoja na punda mmoja, ili nimwendee mara moja yule mtu wa Mungu, kisha nitarudi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwita mume wake na kusema, “Tafadhali mtume mmoja miongoni mwa mtumishi pamoja na punda ili niweze kwenda kwa mtu wa Mungu haraka na kurudi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwita mume wake na kusema, “Tafadhali mtume mmoja miongoni mwa mtumishi pamoja na punda ili niweze kwenda kwa mtu wa Mungu haraka na kurudi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akamwita mumewe, akasema, Tafadhali, uniletee mtu mmoja wa watumishi, na punda mmoja, ili nimwendee yule mtu wa Mungu kwa haraka, na kurudi tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akamwita mumewe na kumwambia, “Nipe mtumishi mmoja na punda mmoja, ili nimwendee mara moja yule mtu wa Mungu, kisha nitarudi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamwita mumewe, akamwambia: Tuma kwangu kijana mmoja na punda jike moja, nipige mbio kwenda kwake yule mtu wa Mungu, kisha nirudi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akamwita mumewe, akasema, Tafadhali, uniletee mtu mmoja wa watumishi, na punda mmoja, ili nimwendee yule mtu wa Mungu kwa haraka, nikarudi tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamwita mume wake na kumwambia: “Unipe mutumishi mumoja na punda mumoja, kusudi nimwendee mara moja yule mutu wa Mungu, kisha nitarudi.”