2 Kings 4:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akatandika punda na kumwambia mtumishi, “Sasa kaza mwendo, wala usipunguze mpaka nitakapokuambia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatandika punda na kumwambia mtumishi wake, “Mwongoze huyo punda. Usinipunguzie mwendo hadi nikuambie.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatandika punda, akamwambia mtumishi wake, Mwendeshe, twendelee mbele. Usinipunguzie mwendo, nisipokuambia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akatandika punda na kumwambia mtumishi, “Sasa kaza mwendo, wala usipunguze mpaka nitakapokuambia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatandika punda na kumwambia mtumishi wake, “Mwongoze huyo punda, usinipunguzie mwendo mpaka nikuambie.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatandika punda na kumwambia mtumishi wake, “Mwongoze huyo punda. Usinipunguzie mwendo mpaka nikuambie.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatandika punda, akamwambia mtumishi wake, Mwendeshe, twendelee mbele. Usinipunguzie mwendo, nisipokuambia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akatandika punda na kumwambia mtumishi, “Sasa kaza mwendo, wala usipunguze mpaka nitakapokuambia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamtandika punda, akamwambia kijana wake: Uende ukimkimbiza, usinikawilishe safarini, nisipokuambia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatandika punda, akamwambia mtumishi wake, Mwendeshe, twendelee mbele. Usinipunguzie mwendo, nisipokuambia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatandika punda na kumwambia mutumishi: “Sasa kaza mwendo, wala usipunguze mpaka nitakapokuambia.”