2 Kings 4:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kimbia mara moja ukakutane naye na kumwambia, ‘Hujambo? Mume wako hajambo? Mtoto hajambo?’” Naye Mshunami akamjibu “Hatujambo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kimbia ukamlaki, umuulize, ‘Je, wewe hujambo? Mume wako hajambo? Mtoto wako ni mzima?’ ” Akasema, “Kila kitu ni sawasawa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tafadhali piga mbio sasa kwenda kumlaki, ukamwambie, Hujambo? Mume wako hajambo? Mtoto hajambo? Akajibu, Hawajambo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kimbia mara moja ukakutane naye na kumwambia, ‘Hujambo? Mume wako hajambo? Mtoto hajambo?’” Naye Mshunami akamjibu “Hatujambo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kimbia ukamlaki na umwulize, ‘Je, wewe hujambo? Mume wako hajambo? Mtoto wako ni mzima?’ ” Akasema, “Kila kitu ni sawasawa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kimbia ukamlaki, umuulize, ‘Je, wewe hujambo? Mume wako hajambo? Mtoto wako ni mzima?’ ” Akasema, “Kila kitu ni sawasawa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tafadhali piga mbio sasa kwenda kumlaki, ukamwambie, Hujambo? Mume wako hajambo? Mtoto hajambo? Akajibu, Hawajambo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kimbia mara moja ukakutane naye na kumwambia, ‘Hujambo? Mume wako hajambo? Mtoto hajambo?’” Naye Mshunami akamjibu “Hatujambo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa piga mbio, umkute njiani, umwulize: Hujambo? Naye mumeo hajambo? Naye mtoto hajambo? Akajibu: Hawajambo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tafadhali piga mbio sasa kwenda kumlaki, ukamwambie, Hujambo? Mume wako hajambo? Mtoto hajambo? Akajibu, Hawajambo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kimbia mara moja kumupokea na kumwuliza: ‘Uko muzima? Mume wako ni muzima? Mutoto ni muzima?’ ” Naye Musunami akamujibu: “Tuko wazima.”