2 Kings 4:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha akamwambia, “Nenda kwa jirani zako uazime vyombo vitupu vingi kadiri utakavyopata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Al-Yasa akasema, “Zunguka kwa majirani zako wote ukaombe vyombo vitupu. Usiombe vichache.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Nenda, ukatake vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usitake vichache.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha akamwambia, “Nenda kwa jirani zako uazime vyombo vitupu vingi kadiri utakavyopata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elisha akasema, “Zunguka kwa majirani zako wote ukaombe vyombo vitupu. Usiombe vichache.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Al-Yasa akasema, “Zunguka kwa majirani zako wote ukaombe vyombo vitupu. Usiombe vichache.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Nenda, ukaazime vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usiazime vichache.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha akamwambia, “Nenda kwa jirani zako uazime vyombo vitupu vingi kadiri utakavyopata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia: Nenda kujiombea vyombo vitupu huko nje kwao wote walio majirani zako, lakini usichukue vichache!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Nenda, ukatake vyombo huko nje kwa jirani zako wote, vyombo vitupu; wala usitake vichache.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akamwambia: “Kwenda kwa jirani zako, uazime vyombo vitupu vingi vya kutosha.