2 Kings 4:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gehazi akatangulia mbele, na alipofika akaweka fimbo ya Elisha juu ya uso wa mtoto, lakini hakukuonekana dalili yoyote ya uhai. Akarudi na kukutana na Elisha, akamwambia, “Kijana hakufufuka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gehazi akatangulia mbele na kuilaza fimbo juu ya uso wa mtoto, lakini hapakuwa na sauti wala itikio. Hivyo Gehazi akarudi kukutana na Al-Yasa, na kumwambia, “Mtoto hajaamka.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Gehazi akawatangulia, akaiweka ile fimbo juu ya uso wa mtoto; lakini hapakuwa na sauti, wala majibu. Basi akarudi ili kumlaki, akamwambia, akisema, Mtoto hakuamka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gehazi akatangulia mbele, na alipofika akaweka fimbo ya Elisha juu ya uso wa mtoto, lakini hakukuonekana dalili yoyote ya uhai. Akarudi na kukutana na Elisha, akamwambia, “Kijana hakufufuka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gehazi akatangulia mbele na kuilaza fimbo juu ya uso wa mtoto, lakini hapakuwa na sauti wala itikio. Hivyo Gehazi akarudi kukutana na Elisha, na kumwambia, “Mtoto hajaamka.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gehazi akatangulia mbele na kuilaza fimbo juu ya uso wa mtoto, lakini hapakuwa na sauti wala itikio. Hivyo Gehazi akarudi kukutana na Al-Yasa, na kumwambia, “Mtoto hajaamka.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Gehazi akawatangulia, akaiweka ile fimbo juu ya uso wa mtoto; lakini hapakuwa na sauti, wala majibu. Basi akarudi ili kumlaki, akamwambia, akisema, Mtoto hakuamka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gehazi akatangulia mbele, na alipofika akaweka fimbo ya Elisha juu ya uso wa mtoto, lakini hakukuonekana dalili yoyote ya uhai. Akarudi na kukutana na Elisha, akamwambia, “Kijana hakufufuka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Gehazi alikuwa amekwenda mbele yao, akaiweka ile fimbo usoni pa mtoto, lakini haikuwako sauti wala pumzi. Ndipo, aliporudi kukutana naye mwenyewe, akamwambia kwamba: Mtoto hakuamka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Gehazi akawatangulia, akaiweka ile fimbo juu ya uso wa mtoto; lakini hapakuwa na sauti, wala majibu. Basi akarudi ili kumlaki, akamwambia, akisema, Mtoto hakuamka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Gehazi akatangulia mbele, na alipofika akaweka fimbo ya Elisha juu ya uso wa mutoto, lakini hakukuonekana kitambulisho chochote cha uzima. Akarudi na kukutana na Elisha, akamwambia: “Kijana hakuamuka.”