2 Kings 4:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha alipofika, akaingia peke yake chumbani na kuona maiti ya kijana kitandani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Al-Yasa alipofika kwenye ile nyumba, mtoto alikuwa amelala juu ya kitanda chake angali amekufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Elisha alipofika nyumbani, tazama, mtoto amekwisha kufa, amelazwa kitandani pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha alipofika, akaingia peke yake chumbani na kuona maiti ya kijana kitandani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elisha alipofika kwenye ile nyumba, mtoto alikuwa amelala juu ya kitanda chake angali amekufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Al-Yasa alipofika kwenye ile nyumba, mtoto alikuwa amelala juu ya kitanda chake angali amekufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Elisha alipofika nyumbani, tazama, mtoto amekwisha kufa, amelazwa kitandani pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha alipofika, akaingia peke yake chumbani na kuona maiti ya kijana kitandani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Elisa alipoingia mle chumbani akamwona mtoto, ya kuwa ni mfu, amelazwa kitandani pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Elisha alipofika nyumbani, tazama, mtoto amekwisha kufa, amelazwa kitandani pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha alipofika, akaingia peke yake ndani ya chumba na kuona maiti ya kijana kwenye kitanda.