2 Kings 4:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akafunga mlango na kumwomba Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaingia ndani, akajifungia yeye na yule mtoto, akamwomba Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akaingia ndani, akajifungia mlango, yeye na yule mtoto wote wawili, akamwomba Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akafunga mlango na kumwomba Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaingia ndani, akajifungia yeye na yule mtoto, akamwomba BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaingia ndani, akajifungia yeye na yule mtoto, akamwomba bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akaingia ndani, akajifungia mlango, yeye na yule mtoto wote wawili, akamwomba BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akafunga mlango na kumwomba Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaenda, akajifungia mlango, wawe wawili tu, yeye na mtoto, kisha akamwomba Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akaingia ndani, akajifungia mlango, yeye na yule mtoto wote wawili, akamwomba BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, akafunga mulango na kumwomba Yawe.