2 Kings 4:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha akasimama na kutembeatembea chumbani, kisha akarudi na kujilaza tena juu ya mtoto. Mtoto akapiga chafya mara saba, halafu akafungua macho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Al-Yasa akajiondoa juu yake na kuanza kutembeatembea ndani ya chumba, kisha akarudi tena kitandani na kujinyoosha tena juu ya mtoto mara nyingine. Mtoto akapiga chafya mara saba, akafungua macho yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akarudi, akatembea nyumbani, huko na huko mara moja; akapanda, akajinyosha juu yake; na yule mtoto akapiga chafya mara saba, na mtoto akafumbua macho yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha akasimama na kutembeatembea chumbani, kisha akarudi na kujilaza tena juu ya mtoto. Mtoto akapiga chafya mara saba, halafu akafungua macho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elisha akajiondoa juu yake na kuanza kutembeatembea ndani ya chumba na kisha akarudi tena kitandani na kujinyosha tena juu ya mtoto mara nyingine. Mtoto akapiga chafya mara saba na akafungua macho yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Al-Yasa akajiondoa juu yake na kuanza kutembeatembea ndani ya chumba, kisha akarudi tena kitandani na kujinyoosha tena juu ya mtoto mara nyingine. Mtoto akapiga chafya mara saba, akafungua macho yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akarudi, akatembea nyumbani, huku na huko mara moja; akapanda, akajinyosha juu yake; na yule mtoto akapiga chafya mara saba, na mtoto akafumbua macho yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha akasimama na kutembeatembea chumbani, kisha akarudi na kujilaza tena juu ya mtoto. Mtoto akapiga chafya mara saba, halafu akafungua macho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Elisa akaondoka tena, akatembea chumbani mara moja huku, mara moja huko, kisha akapanda tena kumlalia hivyo; ndipo, mtoto alipopiga chafya mara saba, kisha akayafumbua macho yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akarudi, akatembea nyumbani, huko na huko mara moja; akapanda, akajinyosha juu yake; na yule mtoto akapiga chafya mara saba, na mtoto akafumbua macho yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akasimama na kutembeatembea ndani ya chumba, kisha akarudi na kujilaza tena juu ya mutoto. Mutoto akapiga chafya mara saba, halafu akafungua macho.